Telegram تجمع: Friends of JPM
Group hili ni kwa ajili ya wale wote wenye mapenzi mema na rais wetu, na wale wanaomsapoti kwa kazi nzuri anazozifanya kuliendeleza taifa hili. Group hili halizuii mwanachama wa chama chochote kujiunga, hivyo linakaribisha watu wote.